Thursday, November 17, 2011
MOTO MKALI KUCHOMA NYUMBA KATIKA KAMBI YA JESHI LUGALO;CHANZO KUZIMA NA KUWAKA KWA UMEME JANA
Moto Ukiwa umepamba Moto huku wanajeshi wakiwa wanafanya Juhuzi za kuzima
Wakazi wa eneo hilo wakishuhudia moto baada ya kuwa wameokoa mali za watu...
Wanajeshi wakiendelea kuzima Moto zaidi Kunusuru mali na maisha ya wakazi eneo Hilo
Wanajeshi wakifanya kazi kwa ushirikiano wa ukaribu kabisa kuokoa mali za watu
wanajeshi wakiendelea kuzima moto wakati kikosi cha kuzima moto kikisubiriwa ambacho kiliwasili baada ya moto kuwa umedhibitiwa kwa 99%
Gari Maalum la zima Moto likiwa eneo la Tukio Saa moja baada ya moto Kutokea
Baadhi ya Vitu vilivyo okolewa
************
ZIMA WAKA ZIMA WAKA YA UMEME HAPA JIJINI DAR ES SALAAM NDIO ZIMESABABISHA MOTO KUWAKA KATIKA NYUMBA ZA JESHI HUKO KAMBI YA LUGALO HATA HIVYO WAMEOKOA BAADHI YA MALI NA ZENGINE KUTEKETEA. WANAJESHI WAMEJITAHIDI SANA KUFANYA KAZI YA KUZIMA MOTO KUTOKANA NA KWAMBA GARI LA ZIMA MOTO LILIFIKA SAA MOJA NA NUSU BAADAE
Habari na latestnews.
HOT NEWS, HARUSI YA STAR MWIGIZAJI YA VUNJIKA -IRENE WOYA
Na Imelda Mtema
NDOA ya kifahari iliyofungwa kwa mbwembwe nyingi na kuweka rekodi ya aina yake kwa mastaa wa sinema za Kibongo kati ya Irene Pancras Uwoya (pichani) na msukuma kabumbu wa Kimataifa wa Rwanda, Hamad Ndikumana ‘Kataut’ imevunjika, Risasi Mchanganyiko lina ushahidi mkononi.
Kwa mujibu wa chanzo chetu halali, ndoa hiyo imepinduka usiku wa Jumapili kufuatia kushindwa kuvumiliana kama walivyoahidiana siku ya kufungwa kwa ndoa hiyo
Subscribe to:
Posts (Atom)










